Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Hatima ya maandamano dhidi ya rais Kabila nchini DRC

Sauti 11:36
Maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila nchini DRC Januari 21 2018
Maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila nchini DRC Januari 21 2018 REUTERS/Kenny Katombe
Na: Victor Melkizedeck Abuso

Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema litaendelea kupanaga maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila kuondoka madarakani, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.Umoja wa Mataifa, unasema watu sita walipoteza maisha wakati wa maandamano Jumapili iliyopita. Tunajadili hatima ya maandamano haya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.