Nini hatima ya rais Jacob Zuma ?

Sauti 13:12
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma REUTERS/Siphiwe Sibeko

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, anaendelea kukabiliwa na shinikizo za kujiuzulu kwa madai ya ufisadi. Zuma ambaye amekuwa rais tangu mwaka 2009, amekataa kujiuzulu.Hotuba yake iliyokuwa imepangwa kufanyika siku ya Alhamisi, imeahirishwa. Nini hatima ya rais Zuma ? T