Muziki Ijumaa

Mlimbwende aliehamia kwenye muziki Genevieve ndani ya Studio za RFI Kiswahili.

Sauti 10:35
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Genevieve ndani ya studio za RFI Kiswahili na Ali Bilali
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Genevieve ndani ya studio za RFI Kiswahili na Ali Bilali RFI/BILALI

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kwa mara nyingine tena amekuja kutambulisha wimbo wake mpya ambao unafanya vizuri "Hoi" wimbo ambao unahesabiwa kuwa ni wa 4 tangu pale alipojikita katika muziki. Sikiliza makala haya katika mazungumzo yake na Ali Bilali.