Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Matukio yaliojiri wiki ya Februari 5 hadi Februari 10

Sauti 21:25
wafyasi wa kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wakitiwa nguvuni na Polisi Feb 6 jijini Nairobi wakati wakiandamana kudaia kuwachgiwa huru kwa mwanaharakati Miguna wa Miguna
wafyasi wa kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wakitiwa nguvuni na Polisi Feb 6 jijini Nairobi wakati wakiandamana kudaia kuwachgiwa huru kwa mwanaharakati Miguna wa Miguna REUTERS/James Keyi

Makala haya mwenzetu Ali Bilali anakuletea matukio mbalimbali yaliojiri ulimwenguni katika wiki ya Feb 5 hadi Februari 10. Ambatana naye kufahamu mengi zaidi