Habari RFI-Ki

Rais mstaafu wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf atunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim

Sauti 09:53
Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf akizungumza na waandishi wa habari Mjini Monrovia.
Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf akizungumza na waandishi wa habari Mjini Monrovia. REUTERS/Thierry Gouegnon

Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ametunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim akiwa kiongozi wa kwanza mwanamke barani Afrika kutunukiwa tuzo hiyo.Mwandishi wetu Fredrick Nwaka, amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao