Historia ya ndoa kwa misingi ya Wakiristo na Waislamu

Sauti 20:09
Pete zinazotumiwa kufunga ndoa
Pete zinazotumiwa kufunga ndoa wikipedia

Je, unfahamu histortia ya ndoa ? Jumapili hii, tunakuletea historia ya ndoa kwa misingi ya Kikiristo na Kiislamu. Reverend, Canon Jerome Napella atatuelezea kwa upande wa Wakiristo. Yeye ni  Kasisi kiongozi wa Kanisa Anglikana, Mtakatifu Nikolao, Ilala jijini Dar es salaam nchini Tanzania. Upande wa Uislamu tutakuwa naye Sheikh Rohani Zubeir Faiz pia kutoka jijini Dar es salaam.