Wimbi la Siasa

Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura

Imechapishwa:

Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo CENI, imepata mitambo ya kieletroniki kuwatambua wapiga kura wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.Je, mitambo hii itsaidia Uchaguzi huo kuwa huru na haki ? Tunajadili hili na mbunge wa Francois Rubota kutoka muungano unaomuunga mkono rais Joseph Kabila, Majorite Preidentielle, lakini pia Naibu Katibu Mkuu wa chama Kikuu cha upinzani UDPS Reubens Mikindo.

Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley, akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC , Corneille Nangaa, jijini  Kinshasa,  mwaka 2017
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley, akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC , Corneille Nangaa, jijini Kinshasa, mwaka 2017 REUTERS/Robert Carrubba
Vipindi vingine