Historia ya Talaka kwa Mingi ya Kikristo na Kiislam

Sauti 22:14
divorce-garde
divorce-garde ©pixabay/tumisu

Makala haya ni sehemu ya pili ya Historia ya Ndoa kwa Misingi ya Kikristo na Kiislam, sehsmu hii ya pili inaeleza sasa kuhusu Talaka kwa misingi ya Kikristo na Kiislam. Ali Bilali amezungumza na Canan Jerome Napela na Cheikh Zuberi kuhusiana na swala hili.