Habari RFI-Ki

Athari za mvua Afrika Mashariki na Kati

Sauti 10:19
Picha ikionesha athari za mafuriko nchini Sudan
Picha ikionesha athari za mafuriko nchini Sudan www.unocha.org

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu athari za mvua na tahadhari ambazo wananchi wamechukua kuepuka athari.