Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga akutana na rais Uhuru Kenyatta, mauaji mapya DRC

Sauti 21:25
Moja ya makazi ya raia wa kawaida waliokimbia mauaji katika mji wa Eringeti pia Oicha wilayani Beni mashariki mwa DRC oktoba 2014.
Moja ya makazi ya raia wa kawaida waliokimbia mauaji katika mji wa Eringeti pia Oicha wilayani Beni mashariki mwa DRC oktoba 2014. RFI/Sonia Rolley

Makala hii imeangazia hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga  kukutana na rais Uhuru Kenyatta mwishoni mwa juma, mauaji ya watu sita katika maeneo ya Eringeti wilayani Beni mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, serikali ya Rwanda yaanza kufunga makanisha, wakati kimataifa rais Trump wa Marekani kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un mwezi mei mwaka huu.