Habari RFI-Ki

Mataifa ya Tanzania, Burundi na rwanda yatajwa kuwa chini kwa kiwango cha furaha duniani

Sauti 09:50
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa General Antonio Guterres akihutubia kikao cha haki za binadamu Mjini Geneva, Uswisi February 26, 2018.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa General Antonio Guterres akihutubia kikao cha haki za binadamu Mjini Geneva, Uswisi February 26, 2018. REUTERS/Denis Balibouse

Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kiwango cha furaha duniani imeeleza kuwa nchi za Tanzania, Burundi, Rwanda kuwa miongoni mwa mataifa yenye kiwango cha chini cha furaha duniani, sababu zikitajwa kuwa ni uhuru, kuaminika, haki za binadamu na kipato. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao.