Marais wa Afrika kutia saini mkataba wa soko la pamoja

Sauti 11:40
Viongozi wa bara Afrika wakiwa Kigali ncuini Rwanda kuhudhuria mkutano wa kutia saini mkataba wa kufanya biashara
Viongozi wa bara Afrika wakiwa Kigali ncuini Rwanda kuhudhuria mkutano wa kutia saini mkataba wa kufanya biashara twitter.com/AUC_MoussaFaki?lang=en

Wakuu wa nchi za Afrika, wamekutana jijini Kigali nchini Rwanda kutia saini mkataba wa kuwezesha biashara huru na soko la pamoja.Je, hatua hii inamaanisha nini ? Tunajadili.