Ifahamu Historia ya DRCongo

Sauti 20:37
Sake watu wa kabila la wahunde wakionyesha ngoma yao ya asili katika siku ya kumbumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilioadhimishwa na wanajeshi wa kikosi cha MONUSCO
Sake watu wa kabila la wahunde wakionyesha ngoma yao ya asili katika siku ya kumbumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilioadhimishwa na wanajeshi wa kikosi cha MONUSCO Photo MONUSCO/Alain Wandimoyi

Makala haya Ali Bilali anakuletea Historia ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zamani Zaire. Katika Makala Haya mgeni wetu ni Benjamin Babunga, ambatana nao kufahamu mengi zaidi.