Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mkutano wa wafadhili kuhusu DRC wafanyika Uswis, mazishi ya Winnie Mandela pia Marekani na suala la Syria

Sauti 21:25
Maafisa wa UN wilayani Walikale, Kijijini Ntoto , DRCongo :  Zaidi ya watu 1700 wakirejeshwa makwao, baada ya kikosi cha MONUSCO kuweka ngome eneo hilo, julai 2014.
Maafisa wa UN wilayani Walikale, Kijijini Ntoto , DRCongo : Zaidi ya watu 1700 wakirejeshwa makwao, baada ya kikosi cha MONUSCO kuweka ngome eneo hilo, julai 2014. MONUSCO/ Myriam Asmani
Na: Ruben Kakule Lukumbuka
Dakika 23

Katika makala hii umeangaziwa mkutano wa wafadhili kuchangisha pesa kwa ajili ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, kuhusu hali ya kibinadamu nchini humo wafanyika mjini Geneva uswis, lakini pia mazishi ya mama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kibaguzi nchini Afrika kusini, bi Winnie Mandela yafanyika mjini Soweto, pamoja na yaliyojiri Rwanda, Kenya, Tanzania na kwingineko dunia, makala hii imegusia mvutano kati ya mataifa ya magharibi na Urusi kuhusu Syria.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.