Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

DRC: tume ya uchaguzi kudhibiti watu waliojiandikisha mara mbili, makamisheni wa IEBC nchini Kenya wajiuzulu, Trump kukutana na Kim Jon Un

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya tume ya uchaguzi nchini jamhuri ya kidemokrasia ya CENI, kuanza kuwashughulikia watu ambao walijiandikisha mara mbili kama wapiga kura,na kuwapeleka mahakamani, lakini pia tamko wa wabunge wa Kivu Kaskazini wakipinga kauli ya rais kabila akiwatuhumu watu wa Jamii wa wanande kule Mashariki mwa DRC, kujiuzulu kwa makamisheni watatu wa tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC wakati kimataifa tumengazia mpango wa rais Trump kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.Karibu kujiunga na mwandishi Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.

Mwenyekiti wa tume huru ya Uchaguzi DRC Corneille Nangaa  Yobeluo (g), akitoa ufafanuzi kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa mwaka huu DRC akiwa na mkuu wa Monusco, Daniel Ruiz (kulia), mjini Goma.
Mwenyekiti wa tume huru ya Uchaguzi DRC Corneille Nangaa Yobeluo (g), akitoa ufafanuzi kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa mwaka huu DRC akiwa na mkuu wa Monusco, Daniel Ruiz (kulia), mjini Goma. MONUSCO/Alain Wandimoyi
Vipindi vingine