Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Chama cha UDPS na mkutano wake mkubwa Kinshasa, Rais Kenyatta wa Kenya aeleza siasa nchini mwake, Mkutano wa viongozi wa Korea

Sauti 21:04
Félix Tshisekedi, Kiongozi wa chama cha Upinzani cha UDPS jijini Kinshasa, Aprili 24 2018.
Félix Tshisekedi, Kiongozi wa chama cha Upinzani cha UDPS jijini Kinshasa, Aprili 24 2018. JUNIOR D. KANNAH / AFP
Na: Ruben Kakule Lukumbuka
Dakika 22

Makala ya wiki hii imeangazia hatua ya viongozi wa serikali ya Kinshasa kuruhusu mkutano wa chama cha UDPS kinachoongozwa na Felix Tshisekedi, wakati huko Kenya rais Kenyatta amesema mkutano wake na kiongozi wa upinzani haukuwakufurahisha watu wengi nchini humo, tumegusia siasa za ukanda wa afrika mashariki na kati wakati kimataifa dunia imeshangazwa na mkutano wa viongozi wa Korea zote mbili.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.