Siha Njema

Siku ya kupambana na ugonjwa wa malaria duniani

Sauti 08:51
Dunia yaadhimisha siku ya kupambana na malaria
Dunia yaadhimisha siku ya kupambana na malaria Adam M. Richman / Sanaria Inc. / AFP

Malaria bado ni tishio katika mataifa yanayoendelea hasa katika bara la Afrika,tunaangazi augonjwa huu wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya malaria ya kimataifa..