Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Miaka saba baada ya kuuawa kiongozi wa kundi la kigaidi Al Qaeda Osama Bin Laden

Sauti 09:48
Osama Bin Laden,aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi Al Qaeda
Osama Bin Laden,aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi Al Qaeda .
Na: Martha Saranga Amini

Miaka saba imepita tangu kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi Al Qaeda Osama Bin Laden nchini Pakistan baada ya kushambuliwa na makomandoo wa jeshi la Marekani.Je jitihada za kumaliza vitendo vya kigaidi zinafanikiwa?

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.