Kampeni ya kura ya maoni yaanza nchini Burundi, Ziara ya mkuu wa ICC Fatou Bensouda DRC, na uchaguzi wa nchini Armenia

Sauti 21:04
Fatou Bensouda, mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya ICC
Fatou Bensouda, mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya ICC ICC-CPI

Katika makala hii imeangaziwa hatua ya serikali ya Burundi ya kupiga marufuku matangazo ya vyombo vya kimataifa BBC na VOA kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 07 mwezi mei, ziara ya mwendesha mashtaka mkuu kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC Fatou Bensouda nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, na hali kadhalika hotuba ya rais Uhuru Kenyatta wa Kenya mbele ya baraza la Senate pamoja na wabunge nchini humo, wakati kimataifa uchaguzi wa nchini Armenia, pamoja na mambo mengine