Marekani yahamishia ubalozi wake Jerusalem, rais wa DRC Joseph Kabila kuwania muhula wa tatu, kura ya maoni Burundi

Sauti 21:06
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu wakati wa uzinduzi wa ubalozi wa Guatemala jijini Jerusamu mei 16 2018.
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu wakati wa uzinduzi wa ubalozi wa Guatemala jijini Jerusamu mei 16 2018. REUTERS/Ronen Zvulun/Pool

Makala hii imeangazia kuhamishwa kwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi mjini Jerusalem, chama tawala cha nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo cha PPRD kumpendekeza rais Joseph Kabila anayemaliza muda wake kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu, wakati kimataifa kauli ya rais wa Marekani Donald Trump akisema kuwa maandalizi ya mkutano wake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yako palepale.