Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya rais Paul Kagame nchini Ufaransa, Mabango yenye picha ya rais Kabila yaonekana jijini Kinshasa

Sauti 21:09
Rais wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na mwenyeji wake wa Ufaransa Emmanuel Macron (kulia) wakati wa mkutano na wanahabari Ikulu Elysée, mei 23 2018
Rais wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na mwenyeji wake wa Ufaransa Emmanuel Macron (kulia) wakati wa mkutano na wanahabari Ikulu Elysée, mei 23 2018 Francois Mori/Pool via Reuters
Na: Ruben Kakule Lukumbuka
Dakika 22

Wiki hii miongoni mwa habari zetu kuu zilizopewa uzito katika matangazo yetu ni pamoja na ziara ya rais wa Rwanda Paul Kagame nchini Ufaransa, ambapo waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo bi Louise Mushikiwabo amegombea kiti cha ukatibu mkuu wa jumuia ya nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa, mabango yenye picha ya rais Joseph Kabila kuonekana Kinshasa, kimataifa tumeangazia mkutano wa rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa korea Kaskazini.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.