Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Rais Joseph Kabila kubadilisha Katiba kuwania tena urais ?

Sauti 10:16
Rais wa DRC  Joseph Kabila
Rais wa DRC Joseph Kabila REUTERS/Kenny Katombe
Na: Victor Melkizedeck Abuso

Kuna dalili kuwa rais Joseph Kabila wa DRC anapanga kuibadilisha Katiba ili kuwania urais kwa muhula wa tatu. Mabango ya picha ya rais Kabila,  yaliyo na maandishi "Huyu ndio mgombea wetu" yameonekana jijini Kinshasa.Hii inamaanisha nini ? Tunajadili.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.