Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kesi dhidi ya Katumbi kuahirishwa hadi mwezi Oktoba, watu 15 wauawa katika ajali ya moto jijini Nairobi Kenya

Sauti 21:01
Moise Katumbi mwanasiasa wa Upinzani wakati wa mahojiano maalum mjini Lubumbashi Katanga June 02 2015.
Moise Katumbi mwanasiasa wa Upinzani wakati wa mahojiano maalum mjini Lubumbashi Katanga June 02 2015. Photo: Federico Scoppa/AFP
Na: Ruben Kakule Lukumbuka
Dakika 22

Katika makala hii mtangazaji ameangazia hatua ya mahakama kuu nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ya kuahirisha hadi oktoba 10, kesi ya mwanasiasa wa upinzani Moise Katumbi kwa madai kuwa aliwaajiri mamluki kutoka Marekani, siasa za Burundi, watu 15 kupoteza maisha katika ajali ya moto katika soko la Gikomba, jijini Nairobi.Pia kimataifa maandalizi ya mkutano kati ya rais wa Marekani Donald Trump na Vladmir Putin lakini pia viongozi wa ulaya kuafikiana kuhusu wahamiaji.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.