Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Chama cha MLC chamuidhinisha JP Bemba kuwa mgombea, Burundi yakanusha shutuma za Rwanda, wafaransa waadhimisha siku ya uhuru

Sauti 21:04
Eve Bazaiba, katibu mkuu wa chama cha MLC kinachoongozwa naye Jean-Pierre Bemba.
Eve Bazaiba, katibu mkuu wa chama cha MLC kinachoongozwa naye Jean-Pierre Bemba. RFI/Habibou Bangré

Makala hii imeangazia kuhusu vyama vya Upinzani nchini DRC kupinga matumizi ya mashine za kielektroniki, wakati chama cha MLC chamtangaza JP-Bemba kuwa mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa desemba 23, Jeshi la Burundi lilitupilia mbali tuhuma kuwa kuna watu wenye silaha waliovuka mpaka na kuingia nchini Rwanda kufanya mashambulizi na kisha kurudi nchini Burundi, Serikali ya Uganda kuangalia upya kodi ya mitandao ya kijamii, na leo Wafaransa waadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi ya Ufaransa, la Bastille.