Changu Chako, Chako Changu

Miaka 45 tangu kufutwa kwa majina ya Kizungu nchini Zaire

Sauti 20:51
Picha ya Desemba 9 Mwaka 1984. François Mitterrand na rais wa Zaire Mobutu Sese Seko kuku ngwendu wa Zabanga
Picha ya Desemba 9 Mwaka 1984. François Mitterrand na rais wa Zaire Mobutu Sese Seko kuku ngwendu wa Zabanga AFP/Georges Gobet

Miaka 45 tangu kufutwa kwa majina ya kizungu kwa wananchi wa Zaire zama hizo ambapo kwa leo ni Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Nini kilitokea, kwanini hatuwa hiyo? ambatana naye Ali Bilali ambae amezungmza na Benjamin Babunga mtaalamu wa Historia ya mambo ya kale.