Rais Joseph Kabila wa DRC asema hatowania urais, Tanzania na Kenya zaadhimisha miaka 20 ya shambulio la kigaidi

Sauti 21:04
Emmanuel Ramazani Shadary akiwapungia mkono wafuasi wa chama chake cha PPRD jijini Kinshasa Agosti 07 2018 mbele ya ofisi za tume ya Uchaguzi CENI.
Emmanuel Ramazani Shadary akiwapungia mkono wafuasi wa chama chake cha PPRD jijini Kinshasa Agosti 07 2018 mbele ya ofisi za tume ya Uchaguzi CENI. REUTERS/Kenny Katombe

Katika makala hii tumeangazia hatua ya rais wa DRC Joseph Kabila kutangazawaziri wa zamani wa mambo ya ndani,Emmanuel Ramazani Shadary, kupeperusha bendera ya chama tawala cha PPRD katika uchaguzi wa urais wa desemba 23, pia Tanzania na Kenya juma hili ziliadhimisha miaka ishirini ya mashambulizi ya balozi za Marekani jijini Daresalaam na Nairobi, wakati uchaguzi wa Zimbabwe wampa ushindi Emmerson Mnangagwa, na kimataifa hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kuiwekea vikwazo Iran.Kusikiliza zaidi tembelea tovuti yetu kwa anuani ya :