Changu Chako, Chako Changu

Historia ya Mzee King Majuto

Sauti 20:27
Muigizaji Nguli wa vichekesho nchini Tanzania Amr King Majuto wakati wa uhai wake
Muigizaji Nguli wa vichekesho nchini Tanzania Amr King Majuto wakati wa uhai wake Baraka FM

Makala haya Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali anakuletea Historia ya mwanamuziki nguli wa vichekesho Amr King Majuto aliewaacha watu na simanzi aliefariki baada ya kuuguwa kwa kipindi kadhaa. Ambatana naye kumsikiliza King Majuto mwenyewe anaelezea historia ya maisha yake. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amiin.