Changu Chako, Chako Changu

Fahamu elimu ya Rasta

Sauti 20:20
Ma rastafari katika tamasha la reggae huko Durban, Februari 2018.
Ma rastafari katika tamasha la reggae huko Durban, Februari 2018. RAJESH JANTILAL / AFP

Hii ni sehemu ya kwanza ya Historia ya Rasta, ambapo Ali Bilali amezungumza na Alexandre Ngonyani ambae anaeleza kuwa ufaswaha zaidi historia ya Rasta.