Je, rais Emmerson Mnangagwa ataibadilisha Zimbabwe ?
Imechapishwa:
Sauti 09:49
Rais Emmerson Mnangagwa aliapishwa mwishoni mwa wiki iliyopita kuongoza Zimbabwe kwa miaka mitano ijayo. Mnangangwa ameahidi Zimbabwe mpya, itakayokuwa imara kiuchumi. Je, una matarajio gani kuhusu uongozi wa rais Mnangagwa ? Unaamini kuwa, Zimbabwe itainuka tena na kuwa miongoni mwa mataifa yenye demokrasia na uchumi imara barani Afrika ?