Vita vya siku 80, ama vita vya Shaba.

Sauti 20:42
rais Mobutu alipozuru huko Kolwezi le 20 Mei 1978,
rais Mobutu alipozuru huko Kolwezi le 20 Mei 1978, AFP

Sikiliza Makala haya Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali anazungumza na mtaalamu wa maswala ya Historia Benjamin Babunga ambae anazungumzia Historia ya vita vya Siku 80, ama la guerre de 80 jours.