TANZANIA-AFRIKA-DAWA-ZA-KULEVYA

Dawa za Kulevya zimewaathiri Vijana wenye Ndoto za kufanikiwa Barani Afrika

Siku ya Ufunguzi wa Mkutano wa Dawa za Kulevya jijini Dar es salaam
Siku ya Ufunguzi wa Mkutano wa Dawa za Kulevya jijini Dar es salaam Steven Mumbi/Dawa za Kulevya

Viongozi wa Taasisi za kupambana na Dawa za Kulenya katika Mataifa ya Afrika wamekubaliana kwa kauli moja kuongeza mbinu za kupambana na Uingizwaji na Usambazaji wa dawa hizo ikiwa ni pamoja na kutumia sheria kuwatia hatiani watuhumiwa wa mtandao huo.Mwandishi wa Rfi Kiswahihili Steven Mumbi aliangazia mkutanio huo kutoka Dar es salaam na kuandaa Taarifa ifuatayo