Kuzama kwa kivuko Ziwani Victoria nchini Tanzania

Sauti 19:26
Uokozi katika Ziwa Victoria, katika Kisiwa cha Ukerewe
Uokozi katika Ziwa Victoria, katika Kisiwa cha Ukerewe Reuters TV/via REUTERS

Tanzania inaomboleza vifo vya zaidi ya watu 200 waliozama katika Ziwa Victoria, kurejea kwa mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi nchini Uganda na Tume ya Uchaguzi nchini DRC, kutangaza majina ya wagombea urais mwezi Desemba.