Habari RFI-Ki

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 73 una umuhimu gani kwa Waafrika

Sauti 10:07
Raisi wa Marekani Donald Trump
Raisi wa Marekani Donald Trump 路透社

Mkutano Mkuu wa 73 wa Umoja wa Mataifa ambao ulianza tangu Jumanne wiki hii huko New York nchini Marekani umeendelea kugubikwa na mvutano na hotuba za kushtumiana kati ya baadhi ya viongozi wa nchi.