Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Louise Mushikiwabo achaguliwa katibu mkuu mpya wa Francophonie, Upinzani DRC wazuwiwa kukutana Lubumbashi

Sauti 21:26
Louise Mushikiwabo katibu mkuu mpya wa jumuia ya Francophie punde baada ya kuchaguliwa kwake huko Erevan, October 12 2018.
Louise Mushikiwabo katibu mkuu mpya wa jumuia ya Francophie punde baada ya kuchaguliwa kwake huko Erevan, October 12 2018. LUDOVIC MARIN / AFP

Mkutano wa Viongozi wa jumuiya ya nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa Francophonie, OIF umetamatika juma hili huko Erevan nchini Armenia, ambapo viongozi hao wamemteuwa waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Louise Mushikiwabo kuwa katibu mkuu wa jumuiya hiyo, kuchukuwa nafasi ya Michaelle Jean. Huko DRC joto la kisiasa laendelea kupanda, wakati kimataifa Uturuki na Marekani zachunguza kupotea kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi