Rais Paul Biya achaguliwa tena kuongoza Cameroon kwa muhula wa saba

Sauti 13:03
Rais wa Cameroon Paul Biya
Rais wa Cameroon Paul Biya REUTERS/Carlo Allegri -/File Photo

Rais wa Cameroon Paul Biya, ametangazwa mshindi kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa saba, kuendeleza uongozi wake wa miaka 36. Upinzani umekataa kutambua ushindi huu. Ushindi huu una maana gani kwa demokrasia ya Cameroon na bara la Afrika ? Tunajadili.