Changu Chako, Chako Changu

Maadhimisho ya miaka 100 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia

Sauti 20:52
Viongozi wa dunia wakiungana pamoja kuadhimisha miaka 100 ya kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia Armistice, Jumapili November 11 2018.
Viongozi wa dunia wakiungana pamoja kuadhimisha miaka 100 ya kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia Armistice, Jumapili November 11 2018. François Mori/Pool via REUTERS

Katika makala hii kwenye historia na utamaduni, tunakuletea kumbukumbu ya miaka mia moja ya vita ya kwanza ya dunia ambapo rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, rais Putin wa Urusi pamoja na baadhi ya viongozi wengine duniani miongoni mwao kansela wa Ujerumani Angela Merkel walijumuika pamoja katika Kuadhimisha Siku hii iliyoadhimishwa tarehe 10 mwezi Huu wa Novemba.