Mauaji ya walinda amani wa Umoja wa Afrika huko DRC yanatoa taswira gani wakati huu taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi?

Sauti 10:02
Mji wa Beni uliopo Mashariki mwa DRC umekuwa ukikabiliwa na visa vya ukosefu wa usalama
Mji wa Beni uliopo Mashariki mwa DRC umekuwa ukikabiliwa na visa vya ukosefu wa usalama REUTERS/Samuel Mambo

Askari saba, sita kutoka Malawi na mmoja kutoka Tanzania wameuawa katika Mji wa Beni, Mashariki mwa DRC. Je matukio haya ya mauaji ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa yanatoa taswira gani wakati huu taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi?Fredrick Nwaka ameakuandalia makala ya Habari Rafiki kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu