Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wapinzani wawili DRC waondoa saini zao kuunga mgombea mmoja, Waganda watakiwa kulinda wachina, moto waua watu California

Imechapishwa:

Makala ya wiki hii imeangazia hatua ya wanasiasa wawili wa upinzani: Felix Tshisekedi wa UDPS na Vital Kamerhe kiongozi wa chama cha UNC kuondoa saini zao kuhusu uteuzi wa mgombea Martin Fayulu kupeperusha bendera ya upinzani, katika uchaguzi wa desemba 23 mwaka huu.Nchini Tanzania serikali ilisema itanunua korosho zote nchini, kimataifa tumeangazia Uingereza na Brexit mpango wa kujiondoa umoja wa ulaya

Viongozi wa upinzani wa DRC katika mkutano wa Geneva Uswis, pamoja na Martin Fayulu pia Alan Doss mkuu wa wakfu wa Koffi Anna Novemba 11 2018.
Viongozi wa upinzani wa DRC katika mkutano wa Geneva Uswis, pamoja na Martin Fayulu pia Alan Doss mkuu wa wakfu wa Koffi Anna Novemba 11 2018. Fabrice COFFRINI / AFP