Mwanzo na mwisho wa historia ya Israeli ya Kale

Sauti 21:08
Waziri mkuu wa Israeli Benyamin Netanyahu , tarehe 28 oktoba 2018 mjini Yerusalemu.
Waziri mkuu wa Israeli Benyamin Netanyahu , tarehe 28 oktoba 2018 mjini Yerusalemu. Oded Balilty/Pool via REUTERS

Makala ya changu chako chako changu inakuletea historia ya mwanzo na mwisho wa taifa la Israeli ya kale, ikiwa ni jina la watu au taifa walioitwa taifa teule katika Tanakh au Biblia ya Kiebraniana ambao waliishi katika nchi iliyoitwa Kanaani, halafu Israeli (baadaye pia Palestina) Waroma walikuja kuvamia eneo lile na kuharibu mji wa Yerusalem, ambao tena mwaka 135 waliwafukuza wote kutoka nchi yao, mwanzoni Wenyeji walijiitaWanaisraeli na baadaye pia Wayahudi.