Matarajio ya wananchi wa DRC, wakati huu wagombea wakitarajia kuanza kunadi sera zao

Sauti 10:07
Rais Joseph Kabila anamaliza muda wake baada ya kukaa uongozini kwa miaka 17
Rais Joseph Kabila anamaliza muda wake baada ya kukaa uongozini kwa miaka 17 REUTERS/Eduardo Munoz

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini DRC zinatazamiwa kuanza wiki lakini yapi ni matarajio ya raia wa DRC kwa wagombea wa nafasi mbalimbali. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu