Habari RFI-Ki

Ulimwengu unaadhimisha siku ya televisheni

Imechapishwa:

Dunia inaadhimisha siku ya televisheni inayotajwa kusaidia maendeleo na ukuaji wa haki za binadamu. Je msikilizaji Luninga imekusaidia nini? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya.

Televisheni inatajwa kutoia mchango mkubwa kwa maedneleo duniani
Televisheni inatajwa kutoia mchango mkubwa kwa maedneleo duniani Wikipedia