Habari RFI-Ki

Raia wa DRC wazungumzia kampeni za uchaguzi nchini mwao

Sauti 09:51
Rais Joseph Kabila anamaliza muda wake baada ya kukaa uongozini kwa miaka 17
Rais Joseph Kabila anamaliza muda wake baada ya kukaa uongozini kwa miaka 17 REUTERS/Kenny Katombe

Kampeni za uchaguzi mkuu wa DRC zimeng'oa nanga kwa wagombea kuanza kunadi sera zao. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kukusanya maoni ya raia wa DRC kuhusu namna wanavyoshuhudia kampeni katika maeneo yao.