Kampeni za uchaguzi zaanza nchini DRC, bunge la Kenya laahirisha vikao vya jinsia mwakani, Macron kukutana na kiongozi wa Saudi Arabia

Sauti 21:06
DRC- baadhi ya wagombea wa kiti cha urais Kushoto kwenda kulia: Emmanuel Ramazani Shadary, Félix Tshisekedi, Martin Fayulu.
DRC- baadhi ya wagombea wa kiti cha urais Kushoto kwenda kulia: Emmanuel Ramazani Shadary, Félix Tshisekedi, Martin Fayulu. Photos/Montage/RFI

Katika makala hii tumeangazia kuanzishwa kwa kampeni za uchaguzi nchini DRCongo, ambapo mgombea wa chama tawala Emmanuel Shadary akiwa mjini Lubumbashi aliahidi kuwapa vijana ajira, bunge la Kenya kuahirisha kupiga kura kutupilia mbali au kuunga mkono muswada wa usawa wa jinsia hadi february mwakani, na rais wa Ufaransa E. Macron aahidi kukutana na mwanamfalme Salman wa Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashogghi.