Habari RFI-Ki

Dunia yaadhimisha siku ya haki za binadamu, huku nchi za Afrika mashariki zikikabiliwa na changamoto za kuheshimu haki za binadamu

Sauti 09:39
Kamishina wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet
Kamishina wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet Foto: Orlando Torricelli

Disemba 10 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya haki za binadamu lakini bado mataifa ya Afrika mashariki yanakabiliwa na changamoto za kusheshimu haki za binadamu. fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu