Kampeni za DRC zakumbwa na vurugu

Sauti 09:43
Mgombea wa upinzani  Martin Fayulu akiwa mjini Goma Desemba tarehe 6 2018
Mgombea wa upinzani Martin Fayulu akiwa mjini Goma Desemba tarehe 6 2018 REUTERS/Samuel Mambo

Siku 10 kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, mauaji yameripotiwa katika kampeni za siasa hasa katika mikutano ya Martin Fayulu, mgombea vya vyama upinzani lakini pia kuteketea moto kwa jengo la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa. Tunajadili hili kwa kina.