Ghala la CENI lateketea kwa moto, rais Museveni ajibu Burundi, rais Kenyatta aahidi kupiga vita ufisadi, UN na majadiliano kuhusu Yemen

Sauti 20:24
Mwenyekiti wa CENI Corneille Nangaa, akiongozana na wajumbe wa tume hiyo ya uchaguzi na maafisa kadhaa, hadi kwenye moja ya ghala iliyoteketea kwa moto kujua hali halisi.
Mwenyekiti wa CENI Corneille Nangaa, akiongozana na wajumbe wa tume hiyo ya uchaguzi na maafisa kadhaa, hadi kwenye moja ya ghala iliyoteketea kwa moto kujua hali halisi. Ceni-rdc/Twitter.com

Hii leo tumekuletea mkusanyiko wa habari kuu za dunia za juma hili, ikiwa ni pamoja na kuteketea kwa ghala la kuhifadhi vyombo vya CENI huko DRC, rais wa Uganda amjibu rais Pierre Nkurunziza, wananchi wa Kenya waadhimisha miaka 55 ya uhuru, rais Kenyatta asema ufisadi hauna njia, la kimataifa makubaliano ya kisitisha mapigano ya Yemen yafikiwa.