Uchaguzi Mkuu wa DRC wahairishwa

Sauti 09:23
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC Céni, Corneille Nangaa, akizungumza na wanahabari tarehe 20 Desemba 2018
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC Céni, Corneille Nangaa, akizungumza na wanahabari tarehe 20 Desemba 2018 ISSOUF SANOGO, Luis TATO / AFP

Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Desemba, sasa umeahirishwa hadi tarehe 30 baada ya kuteketea kwa ghala la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa.