Habari RFI-Ki

Uchaguzi wa DRC wapigwa kalenda, wananchi watoa maoni yao

Sauti 09:54
Rais Joseph Kabila anaelekea kumaliza muda wake baada ya kuitawala DRC tangu mwaka 2001
Rais Joseph Kabila anaelekea kumaliza muda wake baada ya kuitawala DRC tangu mwaka 2001 JOHN WESSELS / AFP

Kuna ripoti kuwa uchaguzi wa DRC huenda ukaahirishwa kutokana na changamoto mbalimbali huku baadhi ya maeneo kampeni zikipigwa marufuku. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.