Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mpango wa umoja wa Afrika kupunguza kikosi cha AMISOM nchini Somalia una tija?

Sauti 10:13
Nchi ya Somalia imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara yanayotekelezwa na Kundi la al Shabaab
Nchi ya Somalia imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara yanayotekelezwa na Kundi la al Shabaab REUTERS/Feisal Omar
Na: RFI

Umoja wa Afrika AU unapanga kupunguza wanajeshi 1000 waliopo katika kikosi cha kulinda amani cha AMISOM nchini Somalia. Hata hivyo hatua hii inachukuliwa huku bado taifa hilo la pembe ya Afrika likikabiliwa na changamoto za usalama. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.