Uchaguzi kusogezwa mbele hadi desemba30 DRC, jeshi la Rwanda na mashambulizi ya Nyungwe, Marekani kuwaondoa wanajeshi wake Syria

Sauti 20:28
Picha ya mgombea wa upinzani Emmanuel Ramazani Shadary, mjini Kinshasa, wakati wa kampeni za uchaguzi wa DRC 18 desember 2018.
Picha ya mgombea wa upinzani Emmanuel Ramazani Shadary, mjini Kinshasa, wakati wa kampeni za uchaguzi wa DRC 18 desember 2018. John WESSELS / AFP

Katika makala ya juma hili, tumeangazia hatua ya tume huru ya uchaguzi nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo CENI kutangaza kusogezwa mbele kwa uchaguzi uliokuwa ufanyike jumapili desemba 23 mwaka huu hadi desemba 30, rais wa Uganda Yoweri Museveni kutangaza kuwa yuko tayari kuzungumza na wapinzani kuhusu mustakhabali wa taifa hilo.Kimataifa tumeangazia uamuzi wa rais Donald Trump ya kuwaondoa wanajeshi wake Syria.